Ruto na Moi wakutana katika hafla ya kutawazwa kwa askofu wa kanisa la Katoliki Dominic Kimengich

KTN News Feb 01,2020


View More on KTN Leo

Wito wa utangamano wa kitaifa ulitawala hafla ya kutawazwa kwa askofu wa kanisa la katoliki Dominic Kimengich ambaye alitawazwa rasmi hii leo katika kanisa la seminari la mothers of apostles mjini Eldoret kaunti ya uasin gishu ambapo sasa atakuwa askofu mpya wa dayosisi ya Eldoret .Ni hafla iliyohudhuriwa na viongozi wa dini  wakiongozwa  na kadinali John Njue pamoja na  wanasiasa akiwemo  naibu wa rais William Ruto, seneta wa kaunti baringo Gideon Moi, magavana pamoja na wabunge .