×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

HOFU YA KUFURUSHWA: Wakazi wa Kiganjo Thika wana hofu ya kufurushwa makwao

31st January, 2020

Takriban wakaazi 250 wa mtaa wa Kiganjo mjini thika walitoroka makwao jana baad aya madai ya kuvamiwa na majambazi waliokodoshwa kuwafurusha katika ardhi iliyo na umiliki tata. Watu hao walifika usiku na kuzunguza ua katika ardhi ya Ekari 5 inayosemekana kuzozaniwa na wawekezaji wawili tofauti.aidha habari zinarifu kuwa shamba hilo linamilikiwa na marehemu Margret Wangui Kimani ila mmiliki mwengine chini ya kampuni ya Aberdare land owners wakajitokeza baada ya ardhi hiyo kugawanywa mwak wa 2013.

.
RELATED VIDEOS