×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Rais Uhuru yuko Nyandarua kuwakabidhi hati miliki kwa wakazi wa eneo la Olkalou

31st January, 2020

Rais Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuwakabidhi hati miliki za ardhi wakazi 594 kutoka Eneo La Olkalou katika kaunti ya nyandarua. Zoezi hilo aidha linalenga kuwafaidi zaidi ya wakazi elfu tano kutoka kaunti hiyo kufikia mwisho wa mwezi machi mwaka huu.

.
RELATED VIDEOS