Nandi Kiplagat atuzwa mwanamke bora kwenye mashindano ya uendeshaji pikipiki nchini

KTN News Jan 25,2020


View More on Sports

Nandi kiplagat ametuzwa kuwa mwanamke bora wa mwaka 2019 kwenye mashindano ya waendeshaji pikipiki nchini yaliyofanyika hii leo jijini nairobi. Wengine waliotuzwa ni jonross nyachae aliyeshinda kitengo cha mx peewee huku alex kandie akishinda kitengo cha mx 85. mutahi wahome,rendy magara,natalia kandie na dekker kihara pia wametuzwa.washikadau wa mchezo wa uendeshaji pikipiki wameelezea matumaini ya mwaka 2020 kuwa wa mafanikio hata zaidi.