25th January, 2020
Jumla ya mechi tano zimepigwa hii leo katika ligi ya mpira wa mikono nchini. Timu ya kina dada ya kaluluini na ile ya chuo kikuu cha kenyatta ni miongoni wa timu zilizosajili ushindi, huku makueni bees wakiadhibiwa kwa kuchelewa kuwasili uwanjani.