×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kamishna Onesmus Kyatha azungumzia mikakati ya kukabiliana na Al Shabaab huko Mandera

24th January, 2020

Maafisa Wakuu Wa Usalama Katika Kaunti Ya Mandera Wanakutana Na Wenyeji Wa Kaunti Hiyo Kuangazia Mbinu Za Kuimarisha Usalama Katika Maeneo Ya Mpakani Baada Ya Visa Vya Mashambulizi Ya Wanamgambo Wa Alshaabab Kutoka Somalia Kuonekana Kuongezeka. Usimamizi Wa Kaunti Hiyo Umewaleta Pamoja Wenyeji Ili Kujadiliana Na Maafisa Wa Kutafuta Mbinu Ya Kupunguza Mashambulizi Hayo. Ali Manzu Yuko Mandera Na Alipatana Na Washikadau Wawili Kuzungumzia Usalama Maeneo Hayo.

.
RELATED VIDEOS