Waakilishi wa chama cha KANU na vijana kutoka Uasin Gishu wametaka kuwe na uwajibikaji zaidi

KTN News Jan 24,2020


View More on Leo Mashinani

Wakati Huo Huo waakilishi wa chama cha kanu na vijana kutoka kaunti ya uasin gishu wametaka kuwe na uwajibikaji zaidi Katika Harakati Za Mageuzi Ya Katiba Kupitia Mpango Wa Jopo La Upatanishi BBI. Wakizungumza Mjini Eldoret Vijana Hao Wamesema Ipo Haja Kwa Serikali Kuzidisha Nafasi Za Ajira Na Kuwataka Wanasiasa Kuzingatia Maslahi Ya Wananchi Kwenye Mchakato Wa Kufanikisha Harakati Hizo Za Mageuzi Kupitia BBI.