"Inatokea wazi kuwa wao wametambua BBI is here to stay," Mbunge wa Changamwe, Omar Mwinyi

KTN News Jan 24,2020


View More on Leo Mashinani

Tofauti Miongoni Mwa Wanasiasa Wa Pwani Kuhusiana Na Mkutano Wa Kesho Wa Bbi Imeanza Kuibuka Huku Mkutano Ulioitwa Na Wabunge Aisha Jumwa Na Mohammed Ali Kwa Vyombo Vya Habari Ukitibuliwa Kwa Mawe Na Wanaoadaiwa Kuwa Wafwasi Wa Gavana Ali Hassan Joho. Hata Hivyo Viongozi Hao Wameapa Kuhudhuria Mkutano Wa Kesho. Wakati Huo Huo Upande Unaosimamia Maandalizi Ya Kesho Ukiongozwa Na Magavana Wanne Wa Pwani Unaendelea Katika Maeneo Ya Wild Waters.