Marathon kuhamasisha kuhusu mazingira ili kukuza kipaji cha riadha bonde la ufa

KTN News Jan 24,2020


View More on Leo Mashinani

Shirika La Habari La Standard Group, Serikali Ya Kaunti Ya Uasin Gishu, Muasisi Wa Mbio Za Eldoret City Marathon Moses Tanui Pamoja Na Wadhamini Mbalimbali Walizindua Rasmi Awamu Ya 3 Ya Mashindano Hayo Mjini Eldoret. Wakizungumza Mjini Eldoret Wadau Hao Wameweka Mikakati Kabambe Ya Kuboresha Mustakabali Wa Wanariadha Chipukizi Katika Eneo La Bonde La Ufa. Mwaka Uliopita Zaidi Ya Miche Laki Saba Ya Miti Ilipandwa  Huku Idadi Hiyo Ikitarajiwa Kuongezeka Mwaka Huu.