Boss Shollei akashifu uhasama huku mkutano wa Aisha Jumwa wavurugwa

KTN News Jan 24,2020


View More on Leo Mashinani

Mwakilishi Wa Kike Katika Kaunti Ya Uasin Gishu Gladys Boss Shollei Amekashifu Zogo Zinazodaiwa Kutukia Mombasa Baada Ya Mkutano Wa Mbunge  Wa Malindi Aisha Jumwa Kutibuliwa Na Wakosoaji Wake. Akizungumza Mjini Eldoret Mwakilishi Huyo Wa Kike Amesema Sasa Imekuwa Wazi Kuwa Bbi Ina Njama Fiche Ya Kuwabagua Wakenya Kwa Misingi Ya Misimamo.