Bondia Elizabeth Andiega aelezea nia yake ya kustaafu baada ya mashindano ya Olimpiki ya 2020
22nd January, 2020
Bondia tajika nchini Elizabeth Andiega ameelezea nia yake ya kustaafu baada ya mashindano ya olympiki mwaka 2020. Andiega ambaye kwa sasa anashughulika na ukufuzi anapania kukuza vipajia baadae.