×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wakenya waandikisha rekodi mbaya katika tenisi ya vijana ya kimataifa

22nd January, 2020

Wakenya leo waliona cheche kwenye mashindano ya tenisi ya afrika mashariki yanayoendelea uga wa nairobi club. Ryan Randiek alicharazwa seti mbili za 6?0 6?0 na Samir Banerjee kutoka  marekani naye walid ahouda  alimlemea Derick Ominde kwa kumlaza 6?4 na 7?6. Washindi watafuzu robo fainali ya michuano hiyo.

 

 

 

.
RELATED VIDEOS