22nd January, 2020
Waziri wa michezo nchini Amina Mohamed ameahidi kwamba ukarabati wa uga wa Nyayo umefikia hatua za mwisho na utaanza kutumika rasmi kuanzia mwezi machi. uga wa nyayo ulianza kukarabtiwa tangu mwaka 2018. Waziri amina aidha amemkaribisha rasmi afisini katibu mpya joe okudo kuanza majukumu yake .