Wabunge wa 'tangatanga" walegeza msimamo wao kuhusu BBI
21st January, 2020
<style type="text/css">p.p1 {margin: 0.0px 0.0px 0.0px 0.0px; line-height: 18.0px; font: 10.0px Arial}
span.Apple-tab-span {white-space:pre}
</style>
Wabunge wanaoegemea mrengo wa naibu rais William Ruto sasa wamelegeza msimamo wao na kuafikia kuhudhuria mikutano ya BBI. Wakiongozwa na kiongozi wa walio?wengi kwenye bunge la seneti kipchumba murkomen, viongozi hao wamesema kando na kuhudhuria mikutano ya BBI iliyoratibiwa kufanyika nchini, wanapania pia kuandaa mikutano yao .