Ufisadi Mwatate: Mradi wa shule kwa miaka mitano haujaanza
13th January, 2020
Baada Ya Ktn News Kuangazia Ufisadi Na Matumizi Mabaya Ya Fedha Huko Mwatate Mjadala Mkali Umezuka Huku Mbunge Wa Zamani Wa Mwatate Calisto Mwatela Akizungumzia Mradi Huo Tata.