×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wafanyabiashara katika soko la jumla mjini Kajiado wametoa makataa ya siku mbili kwa serikali

10th January, 2020

Wafanyabiashara Katika Soko La Jumla Mjini Kajiado Pamoja Na Wakazi Wa Mtaa Wa Majengo Wametoa Makataa Ya Siku Mbili Kwa Serikali Ya Kaunti Hiyo Kuondoa Taka Ambazo Zimekuwa Kero Kwa Muda Mrefu. Katika Soko La Kajiado, Uvundo Na Uchafu Umetapakaa Kila Sehemu Na Lango Moja La Kuingia Ndani Ya Soko Hasa Linalotumiwa Na Magari Ya Kubeba Mizigo Limezibwa.

.
RELATED VIDEOS