10th January, 2020
Uvamizi Wa Nzige Nchini Unazidi Kusambaa Na Sasa Unaripotiwa Kufikia Kaunti Za Isiolo Na Meru Huku Watalaam Wa Wadudu Wakionya Kuwa Iwapo Hakutakuwa Na Hatua Mwafaka Dhidi Ya Uvamizi Huo Kutakuwa Na Uvamizi Maradufu Siku Zijazo. Watalaam Hao Wakizungumza Na Wanahabari Hii Leo Wameitaka Serikali Kufuatilia Maeneo Zinazokisiwa Kuvamiwa Na Nzige Na Kuweka Hatua Zakuzuia Uvamizi Huo.