10th January, 2020
Seneta Wa Bungoma Moses Wetangula Anaitaka Ripoti Ya Bbi Inayojadiliwa Kwa Sasa, Kuhakikisha Kwamba Inashughulikia Mgao Wa Fedha Za Maendeleo Ya Magatuzi. Aliyasema Hayo Huko Hola Wakati Wa Uzinduzi Wa Shilingi Milioni 14, Fedha Za Kufadhili Masomo Ya Wanafunzi Wanaotoka Familia Zinakumbana Na Changamoto Za Kiuchumi.