Oguna atangaza Serikali imeanza unyunyizaji kemikali katika kaunti ya Garissa, Marsabit na Mandera

KTN News Jan 04,2020


View More on KTN Leo

Serikali Imeanza Shughuli Ya Kunyunyiza Kemikali Ya Kuua Nzige Kwenye Kaunti Tatu Kaskazini Mashariki Ya Kenya Ambazo Zimevamiwa Na Wadudu Hao.  Msemaji Wa Serikali Kanali Mstaafu Cyrus Oguna Amesema Serikali Itatumia Ndege Kupuliza Kemikali Hiyo Nyakati Za Usiku Kwenye Kaunti Za Mandera, Wajir Na Garissa. Serikali Pia Imesambaza Vinyunyizi Vitakavyotumiwa Na Makundi Ya Watu Kuangamiza Nzige.