×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Sofapaka yazindua wachezaji 11, timu yalenga taji la Ligi Kuu

3rd January, 2020

Klabu Ya Sofapaka Imezindua Wachezaji Kumi Na Mmoja, Mkondo Wa Pili Wa Ligi Kuu Ya Taifa Kpl Ukitarajiwa Kung'oa Nanga Wikendi Hii. Rais Wa Sofapaka Elly Kalekwa, Kocha John Baraza Na Ajenti Wa Baadhi Ya Sajili Wapya Prince Koyi Kwa Pamoja Wamewasifia Wachezaji Hao Wakisema Wataisaidia Klabu Hiyo Katika Maazimio Yake. Miongoni Mwa Waliosajiliwa Ni Wachezaji Wanne Kutoka Mataifa Ya Cameroon, Ghana Na Uganda. Sofapaka Wanawaalika Kariobangi Sharks Jumamosi Hii Ugani Kenyatta Kaunti Ya Machakos.

.
RELATED VIDEOS