Wakazi wa Kajiado waelezea matumaini yao, wasema dawa ni ufisadi kuangamizwa

KTN News Jan 03,2020


View More on KTN Leo

Mwaka Mpya Huja Na Matumaini Mengi Kwa Watu Mbalimbali. Wakazi Katika Eneo La Kisaju Huko Kajiado Wameelezea Matumaini Kwamba Vita Vinavyoendelea Dhidi Ya Ufisadi Ni Ishara Nzuri Kwa Serikali Kutaka Kuimarisha Hali Ya Maisha Ya Wakenya.