×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Magoha atoa onyo kwa wakuu wa shule kuhusu ada, asema watoto wasifukuzwe kwa karo | Mbiu ya KTN

3rd January, 2020

Waziri Wa Elimu Prof George Magoha Ametoa Onyo Kwa Walimu Wakuu Watakaotia Mkazo Kwa Ulipaji Karo Na Ada Zingine Kama Mbinu Ya Kuwatimua Wanafunzi Shuleni Shule Zitakapofunguliwa Juma Lijalo. Magoha Amesisitiza Kuwa Elimu Ni Haki Msingi Ya Kila Mwanafunzi. Alizungumza Kwenye Uzinduzi Wa Ufadhili Wa Equity Wings To Fly Wa Mwaka Huu Unaowapa Wanafunzi Wanaobobea Kwenye Elimu Kutoka Jamii Zisizo Na Uwezo Wa Kifedha

.
RELATED VIDEOS