3rd January, 2020
Wakazi Wa Kaunti Ya Wajir Wameelezea Hofu Kuhusiana Na Uvamizi Wa Nzige Unaondelea Kushuhudiwa Katika Eneo Hilo. Maafisa Wa Polisi Wamekuwa Wakifyatua Risasi Na Gesi Ya Kutoa Machozi Kuwatimua Wadudu Hao Ambao Wanatafuna Mimea Yote Kila Waendepo. Ipo Hatari Ya Mifugo Katika Eneo Hilo Kukosa Malisho Endapo Wadudu Hao Hawatathibitiwa. Shirika La Chakula Duniani FAO Limeonya Kuwa Nzige Hao Wanaendelea Kuzaana Kutokana Na Mvua Isiyo Ya Kawaida Kunyesha Katika Maeneo Ya Jangwani.Wakazi Wa Kaunti Ya Wajir Wameelezea Hofu Kuhusiana Na Uvamizi Wa Nzige Unaondelea Kushuhudiwa Katika Eneo Hilo. Maafisa Wa Polisi Wamekuwa Wakifyatua Risasi Na Gesi Ya Kutoa Machozi Kuwatimua Wadudu Hao Ambao Wanatafuna Mimea Yote Kila Waendepo. Ipo Hatari Ya Mifugo Katika Eneo Hilo Kukosa Malisho Endapo Wadudu Hao Hawatathibitiwa. Shirika La Chakula Duniani FAO Limeonya Kuwa Nzige Hao Wanaendelea Kuzaana Kutokana Na Mvua Isiyo Ya Kawaida Kunyesha Katika Maeneo Ya Jangwani.