1st January, 2020
Wakenya waliukaribisha mwaka mpya kwa mbwembwe na sherehe za aina mbalimbali. Wanawake katika hospitali ya rufaa ya Moi walisherehekea mwaka mpya kwa kujaliwa watoto. Siku ya kuukaribisha mwaka mpya watoto thelathini na wawili walizaliwa hospitalini humo.