1st January, 2020
Katika maeneo ya Eastlands hapa jijini Nairobi, wakenya na wageni mbalimbali walijimwayamwaya katika maeneo ya burudani hususan katika kituo cha Bee Center, Tushauriane na hata katika kanisa la baptist huko Kayole kuukaribisha mwaka mpya.