Kocha wa AFC Leopards ajiuzulu na kuondoka nchini mara moja
30th December, 2019
Kocha wa klabu ya AFC Leopards Andre Cassa Mbungo amejiuzulu na kuondoka nchini mara moja. Hii ni baada ya kukamilika kwa makataa ya siku 15 aliyotoa kwa uongozi wa klabu hiyo kulipa malimbikizi yake ya mishahara.