.
18th December, 2019
Tony wabuko Buluma ndie mwanafunzi bora zaidi nchini Kenya aliyejizolea alama ya A katika shule ya upili ya kapsabet. Mwanahabari wetu Willy Lusige alikutana na bingwa huyo katika kijiji cha Emakhwale eneo la Mumias huku mbwembwe, shangwe na nderemo zikitawala nyumbani kwao.