Wenyeji wa Mbololo huko Voi wajitengenezea barabara wanadai viongozi wao hawajali
17th December, 2019
Wakaazi Wa Mbololo Huko Voi Wamejitwika Jukumu LaKuzitengeneza Barabara Zao Wenyewe Wakisema Kuwa Licha Ya Mvua Kuharibu Barabara Nyingi Pia Viongozi Wanayo Sehemu Yao Ya Kulaumiwa Kwa Kutozingatia Kuikamilisha Miradi Mashinani.