17th December, 2019
Leo Ikiwa Siku Ya Kimataifa Ya Kukomesha Dhuluma Dhidi Ya Watu Wanaojihusisha Na Biashara Ya Ukahaba, Wafanyibiashara Hao Kaunti Ya Nakuru Wamejiunga Na Ulimwengu Kuadhimisha Siku Kuu Hii. Wakizingatia Kauli Mbiu Kuhudumia Jamii, Wanatarajiwa Kutoa Huduma Za Usafi Kwa Vituo Kadhaa Vya Polisi Mjini Humo Licha Ya Maafisa Wa Usalama Kulaumiwa Mara Kwa Mara Kwa Kuwahangaisha.