Lishe la sumu Baringo lasababisha vifo za watu watatu
16th December, 2019
Idadi Ya Watu Ambao Wamefariki Baada Ya Kula Chakula Kinachodaiwa Kuwa Na Sumu Huko Baringo Imefikia Watatu. Watano Wamepelekwa Katika Hospitali Ya Rufaa Ya Moi Huko Eldoret. Wengine Tisa Wanapokea Matibabu Hospitalini Kabarnet.