Gavana Alfred Mutua adai maisha yake yako hatarini

KTN News Dec 16,2019


View More on Leo Mashinani

Ni Nani Anamtishia Maisha Gavana Wa Machakos Alfred Mutua? Ameandikisha Taarifa Asubuhi Hii Katika Kituo Cha Polisi Cha Kilimani Hapa Nairobi.