Baraza la wanahabari laonya polisi dhidi ya kutoa vitisho kwa wanahabari | Mbiu ya KTN

KTN News Dec 14,2019


View More on KTN Mbiu

<style type="text/css">p.p1 {margin: 0.0px 0.0px 0.0px 0.0px; line-height: 20.1px; font: 15.0px 'Microsoft Sans Serif'} </style>

Baraza La Kutetea Maslahi Ya Wanahabari Nchini Limewataka Maafisa Wa Usalama Kaunti Ya Makueni Kukoma Kuwatolea Vitisho Waandishi Wa Habari Wanapoendelea Na Majuku Yao. Wakiongozwa Na Dinnah Ondari, Wameelezea Kuwa Kuna Uhuru Wa Uanahabari  Nchini Kenya Na Hivyo Wanahabari Wanafaa Kupewa Nafasi Ya Kufanya Kazi Yao Bila Kutishwa. Wito Huu Unajiri Mwezi Mmoja Baada Ya Mwanahabari Wa Shirika La Standard Eneo La Makueni Stephen Nzioka Kulazimika Kuhama Kaunti Hoy Baada Ya Kupokea Vitisho Kutoka Kwa Maafisa Wa Polisi. Hii Ni Baada Ya Nzioka Kuangazia Taarifa Ya Ufichuzi Namna Mfungwa Mmoja Alifariki Baada Ya Kuwa Mikononi Mwa Polisi Kwa Siku 3.