×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Familia yaomba msaada kwa serikali kuopoa mwili wa mpendwa wao

14th December, 2019

<style type="text/css">p.p1 {margin: 0.0px 0.0px 0.0px 0.0px; line-height: 20.1px; font: 15.0px 'Microsoft Sans Serif'} </style>

Familia Moja Katika Kijiji Cha Busendevale , Matayos, Kaunti Ya Busia Inaomba Msaada Kutoka Kwa Serikali Ili Kusaidia Kuuopoa Mwili Wa Jamaa Yao Aliyeangamia Siku Mbili Zilizopita Akivua Samaki. Majirani Wa Mwenda Zake Wanasema Kuwa Juhudu Za Kumwokoa Joseph Onyango Mwenye Umri Wa Miaka Thelathini Na Nne Hazikufua Dafu. Na Sasa Jamaa Zake Na Wapiga Mbizi Wanaiomba Serikali Ya Kaunti Na Hata Yakitaifa Kuwasaidia Wakisema Wamefanya Kila Wawezalo.

.
RELATED VIDEOS