Bodi yampongeza Rais Uhuru Kenyatta kwa kusaidia katika juhudi za kukomesha ukeketaji

KTN News Dec 14,2019


View More on KTN Mbiu

<style type="text/css">p.p1 {margin: 0.0px 0.0px 0.0px 0.0px; line-height: 20.1px; font: 15.0px 'Microsoft Sans Serif'} </style>

Bodi Ya Kupambana Na Ukeketaji Nchini Imepongeza Rais Uhuru Kenyatta Kwa Juhudi Zake Za Kusaidia Vita Dhidi Ya Ukeketaji. Akizungumza Shule Ya Msingi Ya Eselengei Huko Narok, Mwenyekiti Wa Bodi Hiyo Agnes Pareiyo Alisema Vyombo Vya Usalama Vinajizatiti Kusaidia Kwenye Vita Hivi Kwani Wanaoendeleza Uovu Huu Wamekuwa Wakifikishwa Mahakamani.