Waendesha pikipiki wazuiwa Malindi kuingia Bustani ya Marine Park

KTN News Dec 14,2019


View More on KTN Mbiu

<style type="text/css">p.p1 {margin: 0.0px 0.0px 0.0px 0.0px; line-height: 20.1px; font: 15.0px 'Microsoft Sans Serif'} </style>

Kulikuwa Na Kizaazaa Mjini Malindi Wakati Waendesha Baiskeli Wa Afrika Mashariki Wakiongozwa Na Spika Wa Kilifi Jimmy Kahindi Waliokuwa Wakitoa Hamasisho Ukanda Wa Pwani Kuhusu Ugonjwa Wa Polio Walizuiwa Kuingia Bustani Ya Marine Park Kutokana Na Kutoelewana.  Juhudi Zao Za Kutaka Waruhusiwe Kuingia Ziligonga Mwamba.