Viongozi wa kanisa watoa misaada kwa wahanga wa maporomoko ya ardhi West Pokot | Mbiu ya KTN

KTN News Dec 14,2019


View More on KTN Mbiu

<style type="text/css">p.p1 {margin: 0.0px 0.0px 0.0px 0.0px; line-height: 20.1px; font: 15.0px 'Microsoft Sans Serif'} </style>

Baadhi Ya Viongozi Wa Kanisa Kutoka Kaunti Ya West Pokot Wameahidi Kusaidia Katika Upanzi Wa Miti Maeneo Yaliyokumbwa Na Mkasa Wa Maporomoko Ya Ardhi Hivi Majuzi. Kasisi Wa Kanisa La Kianglikana Samson Tuliapus Amesema Hii Itakuwa Njia Ya Kudumu Yta Kukabiliana Na Mikasa Ya Aina Hii. Alizugumza Alipotoa Misaada Ya Chakula Na Bidhaa Zingine Kwa Wahanga Wa Mkasa Huo. Gavana John Lonyangapuo Amesema Wameonya Wale Ambao Si Waathiriwa Dhidi Ya Kunyemelea Misaada Ya Waathiriwa.