Daraja la Mauti? Serikali kujenga upya daraja la Enziu, baada ya visa vingi vya ajali | Mbiu ya KTN

KTN News Dec 14,2019


View More on KTN Mbiu

<style type="text/css">p.p1 {margin: 0.0px 0.0px 0.0px 0.0px; line-height: 20.1px; font: 15.0px 'Microsoft Sans Serif'} </style> Serikali Ya Kitaifa Imesema Kuwa Itajenga Upya Daraja La Enziu Linalounganisha Maeneo Ya Nuu Na Nguni Baada Ya Malalamishi Kuwa Lilijengwa Visivyo Na Linachangia Ajali Nyingi Eneo Hilo. Watu Wasiopungua 10 Wamefariki Kwenye Ajali Za Barabarani Eneo Hilo Tangu Aprili Mwaka Jana. Akizungumza Alipozuru Eneo Hilo, Katibu Katika Wizara Ya Ujenzi Prof Paul Maringa Alisema Serikali Inajali Usalama Wa Wakenya Na Itahakikisha Hili Linafanyika.