Kampuni za humu nchini zatetewa, zataka asilimia 70 ya kandarasi | Mbiu ya KTN

KTN News Dec 14,2019


View More on KTN Mbiu

<style type="text/css">p.p1 {margin: 0.0px 0.0px 0.0px 0.0px; line-height: 20.1px; font: 15.0px 'Microsoft Sans Serif'} </style>

Taasisi Ya Ujenzi Na Usimamizi Wa Miradi Ya Mijengo Nchini Inaitaka Serikali Kufanyia Marekebisho Sheria Ili Kuzipa Nguvu Kampuni Za Humu Nchini Nafasi Bora Ya Kibiashara Dhidi Ya Zile Za Kigeni. Wanapendekeza Kwamba Wapate Asilimia Sabini Ya Kandarasi Huku Wakidai Kampuni Za Nje Zinawaharibia Biashara Kwa Kiwango Kikubwa.