Passaris, Ida Odinga watoa ushauri kwa kuwaonya kina mama kuhusu mikopo | Mbiu ya KTN

KTN News Dec 14,2019


View More on KTN Mbiu

<style type="text/css">p.p1 {margin: 0.0px 0.0px 0.0px 0.0px; line-height: 20.1px; font: 14.0px Arial} </style>

Wanawake Wameshauriwa Dhidi Ya Kuomba Mikopo Kiholela Kama Hawajapanga Ipasavyo Watakavyotumia Mikopo Hiyo.  Mke Wa Aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga, Ida Odinga Na Muakilishi Wa Wanawake Kaunti Ya Nairobi Wamewaonya Wanawake Kutotumia Mikopo Kwa Shughuli Zizizo Za Kuwaletea Kipato. Viongozi Hawa Walizungumza Kwenye Hafla Iliyoandaliwa Ya Kuwapa Mikopo Kina Mama Maarufu Kama Table Banking Ambapo Makundi 400 Ya Kina Mama Yalinufaika Kwa Kupewa  Mikopo.