×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Noordin Haji azuru Meru, Isiolo kupata maoni ya Wakenya kuhusu ufisadi nchini | Mbiu ya KTN

14th December, 2019

<style type="text/css">p.p1 {margin: 0.0px 0.0px 0.0px 0.0px; line-height: 20.1px; font: 15.0px 'Microsoft Sans Serif'} </style>

Afisi Ya Mkurugenzi Mkuu Wa Mashtaka Ya Umma Imetangaza Kuwa Itabuni Hazina Maalum Ya Kuweka Pesa Na Mali Yote Iliyorejeshwa Baada Ya Kutwaliwa Na Serikali Kutoka Kwa Wafisadi Kuanzia Jumatatu Wiki Ijayo. Mkurugenzi Mkuu Wa Mashtaka Noordin Hajji Alisema Haya Hapo Jana Baada Ya Kuzuru Kaunti Za Meru Na Isiolo Kupata Maoni Ya Wakenya Kuhusu Vita Dhidi Ya Ufisadi Nchini. Mwanahabari George Maringa Anaarifu Zaidi.

.
RELATED VIDEOS