Mbuzi wa kike 125 watolewa kwa watoto 250 huko Baragoi kwa minajili wa kueneza amani eneo hilo

KTN News Dec 13,2019


View More on Leo Mashinani

<style type="text/css">p.p1 {margin: 0.0px 0.0px 0.0px 0.0px; line-height: 18.0px; font: 10.0px Arial; min-height: 11.0px} p.p2 {margin: 0.0px 0.0px 0.0px 0.0px; line-height: 18.0px; font: 10.0px Arial} span.Apple-tab-span {white-space:pre} </style>

Watoto wapatao mia mbili hamsini katikakaunti ndogo ya Baragoi kaunti ya Samburu wamepokea mbuzi wa kike wapatao 125 kama njia ya kueneza amani kati ya jamii ya Samburu na Turkana. mbuzi hao walisambazwa na kundi la children peace initiative kenya ambalo limekuwa likifanya kazi eneo hilo la samburu kaskazini linalokumbwa na mizozo ya mara kwa mara ya jamii za wafugaji. goat for peace ni mpango unaohakikisha kuwa kila watoto wawili wa jamii hizo mbili wanamiliki mbuzi mmoja.