13th December, 2019
<style type="text/css">p.p1 {margin: 0.0px 0.0px 0.0px 0.0px; line-height: 20.1px; font: 15.0px 'Microsoft Sans Serif'} span.Apple-tab-span {white-space:pre} </style>
Maaskofu na wakuu mbambalimbali wa makanisa kutokakaunti ya Kiambu, walikongamana kwenye mkutano maalum kwa ajili ya mafunzo ya BBI. Lengo la kongamano ni kuwafunza wakuu hao wa makanisa kuhusu ripoti nzima ya BBI aidha wahubiri hao wmaependekeza haja ya kubuniwa kwa tume maalum ya kusimamia shughuli zote za makanisa nchini.