13th December, 2019
<style type="text/css">p.p1 {margin: 0.0px 0.0px 0.0px 0.0px; line-height: 20.1px; font: 10.0px Arial} span.Apple-tab-span {white-space:pre} </style>
Seriklai za kaunti hasa zile za maeneo kame nchini zimetakiwa kushirikiana na mashirika mbalimbali yanayopiga jeki masuala ya kilimo na kukabili ukame ili kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa. Akizungumza baada ya kuzuru mabwawa yaliyofadhiliwa na mamlaka ya utunzaji wa mazingira nchini NEMA katika eneo la Kimana na Imbirikani katika kaunti ya Kajiado, mwenyekiti wa bodi ya NEMA John Konchella amekariri kuwa kuna haja ya ushirikiano huo ili kuhakikisha kuwa miradi ambayo inatolewa kwenye kaunti kame natunzwa na kuwafaidi wenyeji wakati wa kiangazi.