10th December, 2019
Nchi ya marekani inaazimia kushirikiana na kenya katika michezo ya riadha na mpira wa vikapu ili kukuza vipaji siku za usoni balozi wa marekani nchini mccarter alisema hayo alipojiunga na bingwa wa dunia wa mbio za marathon Eliud Kipchoge kaunti ya Elgeyo Marakwet. Mac Carter amempongeza kipchoge kwa juhudi zake za kuhamasisha watu kutokata tamaa maishani kupitia riadha.