×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mlevavu japo bingwa, huenda akakosa kujiunga na shule ya upili kwa ukosefu wa pesa za matibabu

10th December, 2019

Licha ya kulazimika kuwa nje ya darasa kwa mwaka mmoja kutokana na saratani iliyomlemaza misuli ,mvulana mmoja mwenye umri wa miaka kumi na sita kutoka shule ya msingi ya Lugulu iliyoko eneo bunge la butula kaunti ya busia alifanikiwa kujizolea alama mia tatu tisini na sita kwenye mtihani wa kcpe mwaka huu. Hata hivyo huenda mwanafunzi huyo sasa akapoteza nafasi yake ya kujiunga na shule ya sekondari ya maranda kwani hana uwezo wa kulipia matibabu yake ya radiotherapy. Alpha okoth ambaye ndoto yake ni kuwa daktari alipatikana kuwa na saratani aina ya burkitts lymaphoma mwaka uliopita na kulazimika kuacha shule ili kutafuta matibabu. Ila hali ngumu ya maisha inasababisha kudidimia kwa ndoto yake ya kupona na kuafikia malengo yake maishani.

.
RELATED VIDEOS