×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wauguzi kaunti ya Kiambu waomboleza wenzao alieyefariki akisafiri kwenye SGR

10th December, 2019

Wauguzi wapatao 1000 katika kaunti ya Kiambu na kaunti jirani wameanzisha kampeni ya kuwasilisha malalamishi kwa usimamizi wa uchukuzi wa reli ya kisasa ama SGR kuhakikisha treni zina wahudumu walio na mafunzo ya kutosha kutoa huduma za matibabu. kampeni hii ilianzishwa siku 5 zilizopita kufuatia  kifo cha Florence kamene Muhia aliyefariki bada ya kudaiwa kukosa  kupata huduma ya haraka ya matibabu alipokuwa safarini akiwa kwenye treni  ya SGR kutoka Mombasa akija hapa nairobi . wakizungumza katika hospitali yaThika Level 5 wakati wa ibada ya wafu kwa mwendazake, jamaa na marafiki wa Florence walielezea namna juhudi zao za  kumtafutia  huduma za matibabu kutoka kwa usimamizi wa sgr ziligonga mwamba.

.
RELATED VIDEOS