×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wakaazi wa Maragua wagharamia hasara baada ya bwawa la Kirimirimi kuvinja kingo zake

10th December, 2019

Waakazi wa kirimiri eneo la Maragwa katika kaunti ya

        Murang`a wanakadiria hasara baada ya bwawa la kibinasfi la

        Kirimiri Estate kuvunja kingo zake kutokana na mafuriko na

        kuharibu mimea yenye thamani ya maelfu ya pesa. Haya

        yakijiri kamati maalum ya kuangazia majanga yanayoletwa na

        mafuriko iliyobuniwa kaunti ya murang’a ilizuru bwawa hili

        kutathmini hali. Kamati hiyo inayoongozwa na Paul Murage

        imewataka wanaosihi maeneo ya nyanda za chini ya bwawa

        hili khamia maeneo salama.Waakazi wa kirimiri eneo la Maragwa katika kaunti ya Murang`a wanakadiria hasara baada ya bwawa la kibinasfi la Kirimiri Estate kuvunja kingo zake kutokana na mafuriko na kuharibu mimea yenye thamani ya maelfu ya pesa. Haya yakijiri kamati maalum ya kuangazia majanga yanayoletwa na mafuriko iliyobuniwa kaunti ya murang’a ilizuru bwawa hili  kutathmini hali. Kamati hiyo inayoongozwa na Paul Murage imewataka wanaosihi maeneo ya nyanda za chini ya bwawa hili khamia maeneo salama.

.
RELATED VIDEOS