.
10th December, 2019
Mwanamitindo Mwenye Tatizo La Ngozi Linalofahamika Kama Vitiligo, Ni Mwanamitindo Wa Pekee Katika Onesho La 12 La Mitindo Ya Mavazi La Swahili Fashion Week Lililofanyika Jumapili Mjini Dar Es Salaam Nchini Tanzania.