10th December, 2019
Kero La Mvua Kubwa Inayonyesha Linazidi Kushuhudiwa Katika Maeneo Mengi Nchini Huku Wengi Wakiendelea Kusababishiwa Mahangaiko Sio Haba. Mto Molo Ambao Unagwanya Kaunti Kaunti Za Nakuru Na Baringo Umepasua Kingo Zake Huku Daraja Likisombwa Na Maji