Sonko kubakia kizuizini hadi Jumatano

KTN News Dec 09,2019


View More on KTN Mbiu

Gavana wa Nairobi, Mike Sonko atabaki kizuizini hadi Jumatano ambapo mahakama itatoa uamuzi kuhusu dhamana yake.